Social Icons

Wednesday, July 3, 2013

SHILOLE NA MASANJA WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON,DC





Masanja na Shilole wakipata chakula cha mchana kwenye mgahawa wa Kijiji cha swahili
Mussa Shedafa katika picha ya pamoja na Masanja na shilole
Nyammy katika picha ya pamoja na Masanja na Shilole
 
 Shilole na Masanja katika picha ya pamoja na mariamu
Kaimu balozi wa Tanzania nchini Marekani Mama Lily Munanka {Kati} akiwa karibu na Masanja na Shilole wakiwa pamoja na mwenyekiti wakamati ya maandalizi ya sheree ya miaka 3 ya vijimambo na tamasha la utamaduni wa kiswahili Marekani Bwn. Baraka Daudi {kushoto} na Rais wa jumuiya ya watanzania ambaye pia ni mjumbe wa kameti hiyo ya maandalizi Bwn. Iddy Sandaly ubalozini hapo jumanne july 02,2013 walipo kwenda kutembelea na kufanya kikao kwa kumuelezea kaimu Balozi maandalizi ya sheree hii itakayo fanyika juma mosi July 06,2013


Kutoka kushoto ni Baraka Daudi, Kaimu Balozi Mama Lily Munanka Rais wa jumuiya ya watanzania DMV, Bwn Idd y Sandaly Shilole na Masanja Mkandamizaji wakiongea jambo walipo kuwa Ubalozini  wa Tanzania nchini Marekani ulipo washington DC
Kutoka kushoto ni Mr Watson, Ms Porticia Jamila Shira, Mrs Reese, Shilole , Masanja na Baraka katika picha ya pamoja
Kamati ya maandalizi wakitoa taarifa kwa Kaimu Balozi mama lily mananka maandalozi yalipo fika
Masanja na Shilole katika picha ya pamoja na afisa habari wa ubalozi watanzania nchini Marekani Mindi Kasiga




Masanja akiwa anasaini kitabu cha wageni Ubalozini hapo
Shilole akiwa anasaini kitabu cha wageni Ubalozini hapo

MASANJA NA SHILOLE WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI

 Shilole na Masanja mkandamizaji wakiwa nnje ya jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani
 Hiyo ndiyo Hoteli waliyo fikia huko Marekani
Shilole na masanja wakishuka kwenye gari kuelekea hotelini

WASANII WA TAMASHA LA FILSMU LA GRAND MALT WATOA MSAADA WA VYANDARUA HOSPITALIYA SEKOU-TOURE JIJINI MWANZA

 Wasanii mbali mbali wakiongozwa na Ray kigosi wakikabidhi msaada wa vyandarua kwenye Hosipitali ya sekou-toure Mjini mwanza kwakatibu wa afya wa hosipitali hiyo Bwana Daniel Temba kwa kuonyesha ushirikiano wao na watanzania wenzao

MAPOKOZI YA RAIS BARACKA OBAMA IKULU YA TANZANIA NA MKUTANO WAKE NA WAANDISHI WA HABARI

 Raisi Baracka Obama wa marekani akipokelewa na menyeji wake Raisi Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzani katika uwanja wa ndege wa mwalimu nyerere Jijini Dar es salaam nchini Tanzania

Raisi Baracka Obama wa marekani na mwenyeji wake Raisi Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzani  wakiwa wakielekea katika sehemu rasm iliyo andaliwa kwaajili ya mazungumzo


Raisi Baracka Obama wa marekani na mwenyeji wake Raisi Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzani  wakipokelewa  kwa shangwe na wananchi wa  Tanzania jijini Dar es salaam   

 Raisi Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na mgeni wakeRaisi Baraka Obama wa Marekani wakiwa kwenye kapeti lekundu kuelekea  Ikulu
Raisi Baracka Obama wa marekani na mkewake Michelle Obama wakipokelewa kwa shangwe katika uwanja wa ndege mwalimu nyerereJijini Dar es salaam nchini Tanzania

Rais Beracka Obama wa marekani akishuka kwenye ndege pamoja na familia yake katike  uwanja wa ndege wa mwalimu nyerere Tanzania Jijini Dar es salaam
 
Blogger Templates