Social Icons

Tuesday, July 9, 2013

RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA INDIA MHE.PRENEET KAUR NA UJUMBE WAKE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Dkt. Jakaya Mrishi Kikwete akiagana na Balozi wa Uolanzi Mhe. Ad koekkoek anaye maliza muda wake wa uwakilishi nchini. Balozi huyo baadae alifanya mazungumzo na Rais Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam. 

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na spika wa Bunge la Korea ya kusini Mhe. Hee Chong wakati spika huyo na ujumbe wake walipo mtembelea Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam.
 Spika wa Bunge la Korea Mhe. Hee Chung {Kulia} akimfurahia simba aliye kaushwa na kupamba lango la Ikulu. Kushoto ni mwenyeji wake Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na waziri wa mabo ya nje wa India Mhe.Preneet Kaur Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na waziri wa mambo ya nje wa India Mhe.Prineet Kaur {wapili kushoto} na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam Kulia ni waziri wa mabo ya nje na ushirikiano kimataifa Mhe. Beinard Membe.
 
Blogger Templates