Social Icons

Wednesday, July 3, 2013

SHILOLE NA MASANJA WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON,DC





Masanja na Shilole wakipata chakula cha mchana kwenye mgahawa wa Kijiji cha swahili
Mussa Shedafa katika picha ya pamoja na Masanja na shilole
Nyammy katika picha ya pamoja na Masanja na Shilole
 
 Shilole na Masanja katika picha ya pamoja na mariamu
Kaimu balozi wa Tanzania nchini Marekani Mama Lily Munanka {Kati} akiwa karibu na Masanja na Shilole wakiwa pamoja na mwenyekiti wakamati ya maandalizi ya sheree ya miaka 3 ya vijimambo na tamasha la utamaduni wa kiswahili Marekani Bwn. Baraka Daudi {kushoto} na Rais wa jumuiya ya watanzania ambaye pia ni mjumbe wa kameti hiyo ya maandalizi Bwn. Iddy Sandaly ubalozini hapo jumanne july 02,2013 walipo kwenda kutembelea na kufanya kikao kwa kumuelezea kaimu Balozi maandalizi ya sheree hii itakayo fanyika juma mosi July 06,2013


Kutoka kushoto ni Baraka Daudi, Kaimu Balozi Mama Lily Munanka Rais wa jumuiya ya watanzania DMV, Bwn Idd y Sandaly Shilole na Masanja Mkandamizaji wakiongea jambo walipo kuwa Ubalozini  wa Tanzania nchini Marekani ulipo washington DC
Kutoka kushoto ni Mr Watson, Ms Porticia Jamila Shira, Mrs Reese, Shilole , Masanja na Baraka katika picha ya pamoja
Kamati ya maandalizi wakitoa taarifa kwa Kaimu Balozi mama lily mananka maandalozi yalipo fika
Masanja na Shilole katika picha ya pamoja na afisa habari wa ubalozi watanzania nchini Marekani Mindi Kasiga




Masanja akiwa anasaini kitabu cha wageni Ubalozini hapo
Shilole akiwa anasaini kitabu cha wageni Ubalozini hapo

No comments:

 
Blogger Templates