Sakata la kodi ya line ya simu limeendelea kuwa kuna
wanasiasa wetu ambao wamekuwa wakifunguka kwa
nyakati mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii....
Baada ya January Makamba, Zitto kabwe naye
amefunguka na kudai kuwa kodi hiyo ni batili na
ilipitishwa kinyemela kwa sababu ilikuwa
imeshaondolewa....
Huu ni ujumbe wake aliouweka katika account yake ya
facebook:
Huu ni ujumbe wake aliouweka katika account yake ya facebook:
Baada ya kauli hiyo,Zitto Kabwe aliandamwa na maswali mengi sana toka kwa wananchi wakidai kuwa "Makamba alisema tuwalaumu ninyi maana ninyi wabunge ndo mlibariki kodi hii"
Zitto naye alishindwa kulijibu swali hilo na kuwataka wananchi "wachukue simu zao, wawapigie wabunge wao wawaulize ni kwa nini walipitisha kodi hii"

"Anasema hiyo kwa sababu wabunge ndio waliopitisha.Wabunge ndio wawakilishi wa wananchi.Jambo likipita bungeni hao ndio wa kwanza kulaumiwa.Yupo sahihi kabisa.Mpigie mbunge wako simu muulize kwa nini alikubali au hakupinga kodi hii"..Hili ni jibu za Zitto Kabwe
halafu sio hilo tuu.kuna hili swala la fisical device za tra wanataka mpaka muuza karanga za pakiti atumie hii kitu.zamani nilikuwa nikiona wanaotumia hizi mashine za codi ni wale wenye vat na sio tin sasa wote tunakuwa sawa.swali ni je huu uchumi wano hitaji kuuukuza utakua kweli.MISIGI YA CODI INAVUNJA MOYO WALIPA CODI WADOGO WADOGO.KWANINI WASIKUSANYE KIMAMILIFU CODI KWA WAFANYA BIASHARA WAKUBWA.NA WANAOMILIKI MALI NYINGI NA WAWAACHE KAPUKU AMBAO WANADUNDULIZA HATA KWAMWAKA MILIONI MBILI NI INSU.
ONA ASILIMI KAMA HAMSINI YA VIJANA WANAOMALIZA VYUO HAWANA KAZI.ASILIMI TANO KATI YA HAMSINI IMEAMUUA KUJIAJILI KWA KIMASIKINI.UNWAKATISHA TAMAA KWA KUWAWEKEA KODI KUBWA.MWISHO WA SIKU TUTASHIDWA KUFANYA TUNACHOFANYA NA TUTARUDI MTAANI KUWA OMBAOMBA NA VIJANA TUSIO KUWA NA MAADILI.ANGALIENI HILI SUALA KWA UMAKINI NA TUMIENI VYANZO VINGINE TULIVYONAVYO KUPATA HIZO KODI ILI TUFIKIE MALENGO YA MILENIA KAMA WENYEWE MNAVYODAI TUPENI MOYO VIJANA HAMTAKUWA NA TATIZO LA VIJANA KUTOKUWA NA KAZI.TUANO UWEZO WA KUFANYA KAZI INSU NI KUWEZESHWA.TUKIWEZESHWA KWA NIA TUNAWEZA.
Twendeni tutaona mwisho wenu nyie wabunge unaokubali kodi ipitishwe mtalipa nyie mwenyewe maana nyie ndo mwenye matumiz na cmu hizo, mtu kama mimi c lazima kutumia cmu biashara yang itaindeleza kwa njia nyingine co lazima mawasiliano cku mnapitisha 2 hiyo kodi na mimi natupa laini cju sasa mtapatia wapi hiyo kodi. Cwezi fanyia kazi serikali wakati haijaniajiri mimi mshahara wangu unanitosha kwa matumizi yangu alaf waniongezee bajeti ambayo ckuiweka mimi hii kitaeleweka mbeleni nyie mpitsheni muone hao masikini kama ni wajinga wataacha kutumia laini ndo mtajua mitandao yenu inakufa yote.
hatulipi hata kama mmepitisha, we angalia nauli kwa siku si chini ya buku 2, pango sh 30000 hatakataka kwa mwezi buku, ulinzi buku, maji si chini ya buku10, umeme buku15, mtoto nauli ya kwenda shule na kula muhogo si chini buku na jero bado wewe mwenyewe ujala kazini, nymbani ujaacha kodi ya meza, Ujaumwa huko hospital hujatoa rushwa kutibiwa aaaaaaah bado tena dah! hii inchi bora tuiuze kila mtu apewe chake ajue ataenda wapi kwa maana huu ni usenge mm mshahara wangu laki 1 na nusu nimepanga nilipe sawa na BAKHRESA hii haki kweli HATULIPIIIIII.
Huu ni uonevu kwa sababu kuna watu wanakosa hata elfu moja kwa ajili ya chakula je hiyo ya kodi ya simu itapatikana kweli.
je ni kwek kwamba serikali imekosa mbinu mbadala ya mapato hadi kuamua kukamua wananchi wake kiac hiki

No comments:
Post a Comment