Raisi Baracka Obama wa marekani na mwenyeji wake Raisi Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzani wakiwa wakielekea katika sehemu rasm iliyo andaliwa kwaajili ya mazungumzo
Raisi Baracka Obama wa marekani na mwenyeji wake Raisi Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzani wakipokelewa kwa shangwe na wananchi wa Tanzania jijini Dar es salaam
Raisi Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na mgeni wakeRaisi Baraka Obama wa Marekani wakiwa kwenye kapeti lekundu kuelekea Ikulu
Raisi Baracka Obama wa marekani na mkewake Michelle Obama wakipokelewa kwa shangwe katika uwanja wa ndege mwalimu nyerereJijini Dar es salaam nchini Tanzania
Rais Beracka Obama wa marekani akishuka kwenye ndege pamoja na familia yake katike uwanja wa ndege wa mwalimu nyerere Tanzania Jijini Dar es salaam
No comments:
Post a Comment